• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

CHATANDA alaani vikali ukatili wa kijinsia kwa Watoto

Posted on: July 7th, 2023

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania  (UWT)   Mary Chatanda amefanya ziara yake  Wilaya ya Songea katika Jimbo la Madaba na kulaani vikali Ukatili wa Kijinsia unaofanyika kwa watoto.

Hayo amezungumza alipowasili katika Jimbo Hilo na kuwaomba wazazi kuacha ukali na kuwa karibu na watoto wao ili inapotokea mtoto kafanyiwa Ukatili wa Kijinsia aweze kuwaeleza wazazi wake bila kuogopa.

“Niwaombe akina baba na akina mama tukae chini na watoto jambo hili la ukatili,tujitahidi kuwa  karibu nao  mtoto akifanyiwa ukatili  hata sema”

Chatanda amesema jambo la ukatili ni jambo baya linalosababisha ukatili wa kijinsia kwa watoto wadogo linalosababishwa na wababa.

“Sisi akina mama tunapita kupiga kelele tuwaambie jambo hili ni baya akina mama pingeni vikali ukatili wa kijinsia jambo hili ambalo linaharibu watoto “.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Madaba

Julai,7,2023

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • KANISA la TAG Madaba wapata Mchungaji Mpya

    November 26, 2023
  • ZAHANATI ya Mahanje yaanza kutoa huduma

    November 23, 2023
  • SERIKALI yawapunguzia Wananchi umbali mrefu kufuata huduma za Afya Mahanje Madaba

    November 23, 2023
  • WANAFUNZI Lipupuma Madaba walivyofurahia kusoma Shule Mpya

    November 22, 2023
  • Angalia zote

Video

MWEKEZAJI AMALIZA KERO YA VITANDA IFINGA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa