• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba atembelea Hospitali ya Wilaya na kutatua changamoto

Posted on: October 11th, 2023

MKURUGENZI Mtendaji Sajidu Idrisa Mohamed leo Oktoba 11,2023 amekagua mradi wa ujenzi wa jengo la upasuaji,wodi ya wanawake na wanaume unaoendelea kujengwa kwa shilingi milioni 800 katika Hospitali ya Wilaya ya Madaba.

Hospitali hiyo inayojengwa kwa awamu ameweza kukagua  Wodi ya Watoto pamoja na kujinea vifaa vya Hospitali ambavyo kwa asilimia kubwa vimenunuliwa.

Hata hivyo Mkurugenzi amezungumza na watumishi na kusikiliza changamoto zinazojitokeza katika Hospitali hiyo ikiwemo baadhi ya Majengo kutokamilika ikiwa huduma zinaendelea kutolewa kwa wananchi.

 Fanti Abbasy  ambaye ni  kaimu mratibu wa huduma za Maabara amesema changamoto  mbalimbali zilizojitokeza  katika Hospitali hiyo jengo la maabara kuto kuwa na milango,ukosefu wa vitanda  vya kutolea huduma kwa wagonjwa  pamoja na maji ya uhakika ikiwa huduma za afya zinaendelea kutolewa.

Abbasy amesema pia Mkurugenzi ameangalia vifaa  vya Hospitali hiyo ambavyo vipo katika Maabara  ikiwemo Darubini inayotumika katika uchunguzi wa Magonjwa.

“ ametoa maagizo kwa mamlaka zinazohusika kuhakikisha huduma ya upatikanaji wa Maji zinakamilika kwa wakati ”.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Oktoba 11,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa