• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba atoa rai kwa Watendaji kuhakikisha wanafunzi wanaripoti Shuleni

Posted on: January 31st, 2024

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba wamefanya Kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili kuanzia Oktoba hadi Disemba 2023.

Akizungumza katika Baraza hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed ametoa taarifa ya wanafunzi walioripoti Shuleni Januari  2024.

Amesema  wanafunzi wa awali walioripoti shuleni na kuanza masomo ni 1691 sawa na asilimia 101.9, wanafunzi wa darasa la kwanza maoteo yalikuwa 1695 na hadi kufikia sasa wameripoti wanafunzi 1684 sawa na asilimia 99

Hata hivyo amesema Elimu Sekondari walipangiwa wanafunzi 1254 kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2024 hadi kufikia sasa wameripoti wanafunzi 934 sawa na asilimia 74.46.

Mkurugenzi ametoa rai kwa Madiwani na Watendaji Kata kuendelea kuwahamasisha wananchi kupeleka watoto shuleni kwa wakati.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Januari 31,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • MADABA DC & TFS WAFANYA MATENDO YA HURUMA

    March 04, 2026
  • DED MADABA ASISITIZA UTATUZI WA KERO NA USIMAMIZI IMARA WA MIRADI KWA WEO NA VEO

    March 02, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI MADABA LAKETI KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU ROBO YA PILI

    January 30, 2026
  • MADIWANI MADABA WAPATIWA VISHIKWAMBI

    January 29, 2026
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • AXL777
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • ombakemas77
  • ombakemas77
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • toto
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto