• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba atoa wito kwa wananchi kuendelea kutibiwa katika hospitali ya Wilaya

Posted on: November 1st, 2024

MKURUGENZI Mtendaji halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed  amezitaja faida za ujio wa madaktari bingwa katika hospitali ya Wilaya.

Akizungumza akiwa katika hospitali hiyo na kujionea huduma zilizokuwa zinaendelea kutolewa  amesema  ujio wa madaktari bingwa  umepelekea watumishi wa Afya  wamepata uzoefu katika utoaji wa huduma kwa wananchi .

“Nitoe wito kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba siku tano zimepita madaktari wetu wataendelea kutoa huduma za kibingwa na mpango wetu tutazindua huduma rasmi zitahusisha katika majengo yaliyopo, Rais Samia ametuletea vifaa vya shilingi milioni 730”.

Amesema vifaa hivyo vimefungwa katika majengo ya hospitali ikiwemo katika vifaa vya kinywa na meno na jengo la mama na mtoto na ni wodi ambazo hazichangamani na wagonjwa wengine pamoja na Exray.

“Namshukuru tena Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia kwa kuendelea kuwajali Watanzania hasa katika huduma za afya ambapo katika awamu hii zimeendelea kuimarika katika halmashauri yetu ya Wilaya,nitoe wito kwa wananchi kuendelea kuitunza miundombinu hii kwa manufaa ya sasa na baadae".

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Novemba 1,2024.a

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa