• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba kila mmoja akatimize wajibu wake

Posted on: October 28th, 2024

Timu ya Menejimenti  halmashauri ya Wilaya wa Madaba imepewa mafunzo  ya kanuni ya usimamizi wa  mikopo ya asilimia 10.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed akifungua mafunzo hayo ametoa rai kwa menejimenti hiyo ya usimamizi wa mikopo kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake katika majukumu yake ya kazi.

“Naamini baada ya mafunzo haya kila mmoja atakuwa ameiva kwaajili ya utekeleza wa majukumu ambayo tumepewa”.

Naye Afisa maendeleo ya Jamii wa halmashauri ya Wilaya ya Madaba Juma Komba akitoa mafunzo kwa menejimenti hiyo ameyataja malengo mahususi ya  mafunzo hayo ikiwa ni kuongeza uelewa wa kanuni za utoaji na usimamizi wa mikopo kwa vikundi vya wananwake,vijana na watu wenye ulemavu.

“Kufafanua taratibu za utambuzi,utoaji,usimamizi,ufuatiliaji na urejeshaji wa mikopo ya vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu”.

Aidha amesema mafunzo hayo yamelenga kuimarisha  ushirikiano na uratibu wa usimamizi  wa mikopo  baina ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI,Ofisi za Wakuu wa Mikoa,mamlaka za Serikali za Mitaa,taasisi za Serikali,taasisi za fedha,asasi za kiraia na wadau mbalimbali katika kuwawezesha  wananchi kiuchumi.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Oktoba 28,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa