• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

HALMASHAURI ya Madaba Wilaya ya Songea yapitisha bajeti ya Bilioni 15 kwa mwaka wa fedha 2022/2023

Posted on: February 25th, 2022

HALMASHAURI ya Madaba imepitisha bajeti ya shilingi bilioni 15 kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Akisoma taarifa hiyo Afisa mipango Janeth Nchimbi katika baraza la Madiwani amesema Halmashauri imetayarisha mpango wa maendeleo  na mapendekezo ya Bajeti  kwa mwaka wa fedha 2022/2023-2025/2026 kwa kuzingatia maelekezo  na miongozo mbalimbali.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololeti Mgema katika Baraza hilo ametoa rai kwa Waheshimiwa Madiwani kusimamia miradi inayoendelea katika Kata zao ili kuhakikisha wanapatiwa miradi mingine.

“Unapokuwa na fedha haina sababu ya kuto Kamirisha Miradi inatakiwa kusimamia ili kazi iende haraka na kukamilika”.

Mgema katika Baraza hilo ameomba kupokea taarifa ya uandikishaji wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza,Darasa la kwanza pamoja na darasa la awali ikiwa umebakia mwezi mmoja kwaajili ya kukamilisha zoezi hilo.

Amesema katika wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza ni kundi muhimu sana wasipopelekwa shule watajiunga na makundi mabaya ikiwa Serikali imeshajenga madarasa kwaajili ya wanafunzi hao.

Serikali imejenga Madarasa hivyo ni wajibu wa Mzazi ahakikishe anampa mtoto mahitaji muhimu ili aanze masomo ,watendaji wa kata na Maafisa Elimu wakafanye tathimini “.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma

Februari 25,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • TIMU YA UKAGUZI MKOA WA RUVUMA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MADABA.

    November 08, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA MKOANI YATUA MADABA KWA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    November 06, 2025
  • DED MADABA APIGA KURA KATIKA KITUO CHA SHULE YA MSINGI KIFAGURO

    October 29, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDI YAFUNGWA RASMI, MSISITIZO WAWEKWA KWENYE UZALENDO NA UADILIFU.

    October 27, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa