• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba inaukubwa wa kilomita za mraba 6,673.97

Posted on: November 25th, 2020

Halmashauri ya  Wilaya ya Madaba ni miongoni mwa Halmashauri 8 za Mkoa wa Ruvuma imeanzishwa na Serikali kwa Tangazo la namba 221.

Akitoa taarifa hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Shafi Kassimu Mpenda amesema Halmashauri iligawanyika kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea maeneo ya Utawala wa Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Juni 5,2015.

“Inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa Upande wa Kusini,Wilaya ya Mbinga kwa upande wa Kusini Magharibi,Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe upande wa Magharibi, Wilaya ya Njombe upande wa Kaskazini Magharibi,Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro Upande wa Kaskazini na Wilaya ya Namtumbo upande wa Mashariki”.

Halmashauri ya Madaba inakadiliwa kuwa na kilomita za mraba 6,673.97 inasifa ya kuwa na Mvua za kutosha zinanyesha kati ya mm 800 na mm1200 ambazo zinafaa kwa kilimo na Joto la wastani  na kubadilika kutokana na nyakati na kufikia wastani wa 20 wakati wa Joto kali kati ya 15  na 17 wakati wa usiku.

Hata hivyo katika Halmashauri hiyo eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 368,704 ambalo sawa na asilimia 55.23 na eneo linalotumika kwa Kilimo  mpaka sasa ni hekta 99,580 ambazo sawa na asilimia 27.01.

Amesema Halmashauri ya Madaba inajumla ya vijiji 22,Kata 8 na Tarafa pia Halmashauri inajumla ya Waheshimiwa Madiwani 11 na Mheshimiwa Mbunge 1 kati ya hao 8 wakuchaguliwa na watatu ni wawakilishi viti maalumu.

Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012,Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa mwaka 2019 inakadriliwa kuwa na watu 55,432 kati ya hao Wanaume 27,520 na wanawake 27,912 na kunaongezeko la idadi ya watu la asilimia 1 kwa maeneo ya vijijini kwa kila mwaka.

Halmashauri ya Madaba inamaeneo mazuri ya Kilimo cha Mazao Mbalimbali  ya Chakula  na Biashara na Maeneo ya Viwanda.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Novemba 25,2020.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • BARAZA LA MADIWANI MADABA LAKETI KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU ROBO YA PILI

    January 30, 2026
  • MADIWANI MADABA WAPATIWA VISHIKWAMBI

    January 29, 2026
  • WAHITIMU WA UFUNDI STADI KUPATIWA VIFAA VYA KUANZIA KAZI VYENYE THAMANI YA MILIONI 4.4

    November 27, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MSINGI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA WAANZA MAFUNZO MAALUM YA KUBORESHA HUDUMA KWA WAZEE

    November 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • AXL777
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • ombakemas77
  • ombakemas77
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88