• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

JENGO la ofisi ya Uthibiti bora wa Shule latarajia kukamilika Desemba 2020

Posted on: December 21st, 2020

JENGO la Ofisi ya Uthibiti bora  wa shule za Halmashauri ya Madaba lililogharimu zaidi ya shilingi Milioni miamoja linatarajia kukamilika Desemba 2020.

Akitoa taarifa hiyo Mthibiti Mkuu wa  Elimu bora wa Shule Halmashauri ya Madaba Godlove Makongwa  ofisini kwake amesema wamepokea fedha kutoka serikali kuu kwaajili ya ujenzi wa Ofisi na ujenzi umeanza septemba 22,2020.

“Tuna mshukuru sana Mh.Rais kuhakikisha Wilaya zinakuwa na Ofisi za Uthibiti  Bora wa Shule nchi nzima na sisi Halmashauri ya Madaba tumekuwa miongoni mwao”.

Makongwa amesema katika Halmashauri ya Madaba wapo watumishi sita ambao wameanza kufanyakazi Mei 2020 na baada ya kulipoti na kuanza kazi wakatumiwa fedha kwaajili ya ujenzi wa ofisi hiyo.

“Selikari ya awamu ya tano imejitaidi kuweka mazingira mazuri kwa watumishi ikiwa pamoja na Uthibiti bora wa Elimu na kuwepo kwetu hapa tukishirikiana na Halmashauri  tutafanya kazi vizuri,tutahakikisha  suala la Elimu  lina songa mbele”.

Hata hivyo Makongwa amesema malengo ya kujenga ofisi ya Uthibiti bora wa Shule ni kuwa na mazingira Mazuri ya Kazi na hatimaye kupata nafasi ya kufuatilia shule za Halmashauri ya Madaba katika Nyanja mbalimbali na utekelezaji wa sera ya Elimu.

 Kwa Mkoa wa Ruvuma Mwaka 2019 Wilaya tano zilipatiwa fedha na kujenga ofisi ya uthibiti bora wa shule  na mwaka huu 2020 Wilaya mbili zimepewa fedha kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi hizo za  Uthibiti bora wa shule ikiwemo Wilaya ya Madaba na Wilaya ya Mbinga.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari wa Halmashauri ya Madaba

Desemba 21,2020.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa