• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MAHAFALI ya Chuo cha Afya ya wanyama na uzalishaji Madaba yafana

Posted on: August 28th, 2023

WANAFUNZI 92 wa Stashahada ya Afya ya Wanyama na uzalishaji wamehitimu katika chuo cha Lita Halmashauri ya Madaba.

Moja ya wahitimu Geofrey Kayangea kisoma Risala kwa Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama akiwakilishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Teofanes Mlelwa amesema walianza mwaka wa masomo 2019/2020 jumla ya wanafunzi 102 hadi mwaka huu wa masomo 2022/2023 wamehitimu wanafunzi 92.

Kayange amesema mafanikio yaliyojitokeza ikiwemo kuhitimu kwa idadi kubwa sawa na asilimia 91.2 kuungana na kusaidiana na wengine walipokuwa na changamoto ya misiba, kukosa ada,kushiriki katika shughuli mbalimbali za uzalishaji  pamoja na kuwa na ligi za michezo na kuwa washindi wakwanza katika michezo mbalimbali.

Hata hivyo amezitaja changamoto zilizojitokeza baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo na kushindwa kutimiza ndoto zao,upungufu wa vifaa vya michezo,ujenzi wa daraja la mto mkwese ilikurahisisha kufika Madaba na chuoni,Kisima kirefu cha Maji kwa matumizi ya wanafunzi na watumishi pamoja na mifugo.

Katika Hafla hiyo Mlelwa amejibu changamoto hizo ikiwa  Serikali kufanyia kazi suala la ada kwa wanafunzi iliwaweze kupata mikopo ikiwa wanafunzi wanashindwa kumaliza masomo yao kwasababu ya kushindwa kulipa ada.

Hata hivyo Mwakilishi wa Mbunge amesema kuwa ifikapo Octoba mwaka huu 2023 atapeleka vifaa vya michezo katika chuo hicho.

“Daraja la mto mkwese ninauwezo nalo nitakuja na Mhandisi ili mnielekeze ,kama limeshindwa kufanyiwa kazi kwa kipindi hiki mwakani litatengenezwa,pamoja na kisima kirefu nitakuja na meneja wa RUWASA tuwasikilize”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti 27,2023.      

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa