• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

MWENYEKITI CCM Ruvuma awapongeza Wataalam Madaba kwa Nidham

Posted on: June 23rd, 2023

MWENYETIKI wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma  Oddo Mwisho ameipongeza Halmashauri ya Madaba kwa kupata Hati safi .

Akizungumza katika kikao maalumu cha baraza la Madiwani la kujadili  utekelezaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  amesema mafanikiao hayo  yamepelekea nidhamu kwa wataalam na Madiwani kwa matumizi ya fedha za wananchi.

“Kati ya Halmashauri ambazo zimefanya vizuri kwa mda mrefu ni Madaba ,nichukue fursa hii kuwapongeza kwa dhati ya moyo wangu kwa kuendelea kupata hati safi “.

Mwisho ametoa rai  kwa wataalamu na Madiwani kuendelea kutunza nidhamu pamoja na uaminifu katika utendaji kazi  na kuuendelea kupata hati safi kwa miaka inayofuata.

Hata hivyo amempongeza Mwenyeki wa Halmashauri  Teofanes Mlelwa kwa namna ambavyo anasimamia Halmashauri hiyo hasa usimamiaji na  utekelezaji wa Miradi inayoletwa na Serikali  kwa ubora na Viwango.

“Mara nyingi tukitembelea miradi na kukagua Halmashauri ya Madaba imekuwa na Miradi mizuri,inayoonyesha thamani ya fedha,na kumaliza miradi kwa wakati hongereni sana”.amesema Mwisho.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Juni 22,2023.

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • KANISA la TAG Madaba wapata Mchungaji Mpya

    November 26, 2023
  • ZAHANATI ya Mahanje yaanza kutoa huduma

    November 23, 2023
  • SERIKALI yawapunguzia Wananchi umbali mrefu kufuata huduma za Afya Mahanje Madaba

    November 23, 2023
  • WANAFUNZI Lipupuma Madaba walivyofurahia kusoma Shule Mpya

    November 22, 2023
  • Angalia zote

Video

MWEKEZAJI AMALIZA KERO YA VITANDA IFINGA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa