• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RAIS Samia kuwa mgeni rasmi katika tamasha la utamaduni la Kitaifa Ruvuma

Posted on: September 5th, 2024

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika tamasha la utamaduni  la Kitaifa litakalofanyika Mkoa wa Ruvuma viwanja vya Majimaji kuanzia Septemba 20 hadi 23,2024.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ahmed Abas Ahmed akizungumza katika kikao cha maandalizi ya sherehe hizo   ametoa rai kwa viongozi wote kuwa na umoja ili kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa.

“Tumtangulize Mungu katika maandalizi yote  ili katika ziara  hiyo iweze kufanikiwa”.

Ahmed katika kikao hicho amewapongeza Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi na wataalam wa halmashauri kwa kusimamia miradi,kutatua kero za wananchi na kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato.

Aidha Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi kulipa kipaumbele na umuhimu suala la uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27,2024  kwa kuzingatia miongozo yote ya uchaguzi iliyowekwa.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amesisitiza kujihadhari na  kujikinga  na ugonjwa  wa mpox au homa ya nyani ambao umekwisha ingia katika nchi mbalimbali

“Tusijione tuko salama wanapoingia wageni kwenye mipaka yetu tuhakikishe wanapimwa na ugonjwa huo hauna tiba tuchukue tahadhari zote ambazo tumetumia wakati wa ugonjwa wa UVIKO 19”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Septemba 5,2024.           

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa