• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RC Ruvuma alivyoagiza upandaji wa Miti ya matunda Mashuleni

Posted on: January 8th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametoa rai kwa viongozi wa Halmashauri kuhakikisha wanapanda miti ya Matunda katika Mazingira ya Shule.

Hayo amezungumza alipotembelea shule Mpya ya Msingi Lipupuma iliyojengwa kwa shilingi Milioni 331 kupitia mradi wa BOOST na Shule ya Sekondari ya Lilondo iliyojengwa kwa shilingi Milioni 560 kupitia mradi wa SEQUIP.

“Shuleni sitaki ipandwe miti ya mbao,nataka tupande miti ya Matunda tunamaeneo kubwa maparachichi yanastawi,machungwa,mapapai,ili watoto wale kwasababu tunatatizo la udumavu”.

Thomas amesema ulaji wa kujaza tumbo siyo mlo kamili kwa afya ya binadamu hivyo tuhakikishe tunabadilisha mawazo kwa kizazi ambacho kipo shuleni.

“Mtu mwingine anaweza kuona mtoto wangu anakua vizuri anacheza  kumbe anaudumavu na kuna wengine udumavu umetoka kwa wazazi,tunafuga kuku  nyumbani hatuli mayai,na tukianza kupanda miti mashuleni itasaidia watoto wetu”.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amesema zoezi la upandaji  miti litazinduliwa Januari 19 na kampeni hiyo itapelekea kila mwezi upandwe mti wa matunda katika eneo la Shule.

Amesema kipimo cha mtoto mwenye udumavu anakuwa mgumu kuelewa darasani walimu wanapofundisha hilo linapelekea hata watu wazima kutoelewa wanapoelekezwa jambo.

“Najua ningekuja kipindi cha kiangazi ningekuta watu wengi sana tunapoenda mashambani tukumbe kwenda na vyakula vya watoto wetu”.

Mkuu wa Mkoa ametoa rai kuhakikisha kila mzazi anachangia chakula kwa mtoto wake anapokuwa shuleni.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Januri 8,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa