• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SHIRIKA la all Mather children lakabidhi vifaa vya kujikinga na UVIKO 19 vyenye thamani ya shilingi zaidi ya milioni 35

Posted on: August 16th, 2021

SHIRIKA la all Mather Children kwa ufadhili wa mfuko wa Maendeleo ya Kanisa  la Anglikana,  Serikali ya Canada wametoa msaada wa  vifaa vya kujikinga na UVIKO 19  vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 35.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa  na Katibu mtendaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Masasi Padri Phares  Lihewe  kwa Naibu Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii, jinsi, wazee na watoto  Mwanaidi Ally  Khamis ,wakati waziara yake ya siku nne katika Mkoa wa Ruvuma.

Lihewe amesema katika kipindi cha awamu ya pili mradi umechangia juhudi za Serikali katika kupambana na Janga la UVIKO 19 ,mradi umejikita katika kuboreshea watoa huduma mazingira rafiki ya kutoa huduma za afya,wanafunzi kuendelea kupata elimu kwa kuzingatia tahadhari ya Ugonjwa huo.

“Katika eneo hili jitihada kubwa za mradi zimeelekezwa katika usafi  kwa kutoa  matanki  28 ya lita 500  ,Sabuni  za maji 1030 ,vitakasa mikono 210 , kwenye shule za Sekondari  ikiwemo  13 za Wilaya ya Tunduru  ikiwemo Frenk Weston”.

Hata hivyo amesema malengo makuu ya mradi huo ni kuchangia juhudi za serikali katika kujikinga na madhara yanayoweza kuletwa na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO 19 kwa kuwawezesha watoa huduma za afya na wahudumu  kuwa na uelewa,vifaa  kinga na tiba katika tahadhali  ya ugonjwa huo.

 Kwa upande wake ,Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,Jinsia wazee na watoto ameliopneza Shirika hilo kwa kutoa misaada kwa kuhudumia wanafunzi ili kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa UVIKO 19.

Naibu Waziri amesisitiza wananchi kuweka vifaa vya kunawia mikono kwa maji tililika,Vitakasa mikono katika makusanyiko na katika nyumba za kuishi na kuvaa barakoa na wazee wenye magonjwa kama kisukari,shinikizo la damu,kansa kuto jumuika katika misongamano isiyo ya lazima na kuendelea kufuata maelekezo kutoka kwa wataalamu wa afya.

“Gonjwa hili la COVID 19 lipo na wananchi tunatakiwa tujikinge na kuondokana na tatizo hili,tuwasikilize wataalamu waafya, na wadau wa maendeleo waliopo nchini  kuendelea kutoa misaada mbalimbali katika Nyanja mbalimbali na mashirika yasiyo ya kiserikali kutekeleza majukumu na huduma zao ili  zinawafikia walengwa maana wengine katiba zao zinaonyesha kutoa misaada kwa wananchi lakini wakishafanikiwa hujinufaisha wenyewe”. Amesisitiza.

Imeandaliwa na Ofisi ya Afisa Habari

Mkoa wa Ruvuma

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa