• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SHULE ya Sekondari Joseph Kizito Mhagama Madaba

Posted on: March 30th, 2023

HALMASHAURU ya Madaba imepokea kiasi cha fedha shilingi milioni 470 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya Joseph Kizito Mhagama Desemba 21,2022.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed ametoa taarifa hiyo amesema fedha hizo kwaajili ya ujenzi wa jengo la Utalawa,vyoo 20, Maabara 3, Maktaba 1 Chumba cha Tehama kimoja na madarasa 8.

Amesema fedha zilizoingizwa katika akaunti  ya Shule ya Sekondari ya Madaba kupitia program ya SEQUIP ya ujenzi wa Shule 1000 za Sekondari Tanzania nzima.

Hata hivyo Mkurugenzi amesema kutokana na miongozo ya utekelezaji wa mradi huo ulitambulishwa Januari 24,2022 na kuanza kutekelezwa  Machi 14,2022 kwa kufuata miongozo iliyotolewa.

“Hadi kufikia Novemba 25 ,2022 fedha zilizotumika  ni kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 468 na kubakiwa na shilingi zaidi ya milioni moja na kufikia hatua ya ukamilishaji”.

Amesema mradi umefikia asilimia 95 kwa ujenzi wa madarasa 8 jengo la utawala 1 vymba  3 vya maabara ,matundu 20 ya vyoo,minara 2 ya tenki,mfumo mmoja wa kunawa mikono na asilimia 65  kwa jengo 1 la maktaba  na chumba 1 cha ICT  na mradi unatarajiwa kukamilika kwa asilimia 100 ifikapo Desemba 30,2022.

Mkurugenzi ameeleza namna ambavyo wananchi wa Kata ya Lituta walivyoshiriki kuchangia nguvu zao katika uchimba wa mitaro ya maji na ujazaji wa kifusi ambapo ni sawa na thamni ya shilingi laki 8.

Ameelezea changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa  mradi huo ubovu wa barabara ambao ulisababisha gharama ya usafirishaji wa vifaa kuwa kubwa kwa kutumia trekta.

Ukosefu wa umeme ikiwa pamoja na kutumia jenerata pamoja na maji ya kutosha  na vifaa vya ujenzi  kama vile bati na kokoto.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Madaba

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • BARAZA LA MADIWANI MADABA LAKETI KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU ROBO YA PILI

    January 30, 2026
  • MADIWANI MADABA WAPATIWA VISHIKWAMBI

    January 29, 2026
  • WAHITIMU WA UFUNDI STADI KUPATIWA VIFAA VYA KUANZIA KAZI VYENYE THAMANI YA MILIONI 4.4

    November 27, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MSINGI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA WAANZA MAFUNZO MAALUM YA KUBORESHA HUDUMA KWA WAZEE

    November 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • AXL777
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • ombakemas77
  • ombakemas77
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto