• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

UJENZI wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu Madaba kukamilika Disema 30,2023

Posted on: November 7th, 2023

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imepokea Fedha kiasi cha Shilingi Milioni 128 kutoka Serikali kuu kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya msingi Madaba.

Mkuu wa Shule hiyo Victor Luoga  akisoma taarifa ya ujezni wa bweni hilo kwa Kamati ya Fedha inayoongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri Teofanes Mlelwa amesema ujenzi huo umeanza tarehe 13,Mwezi 10 na kutarajia kukamilika Disemba 30,2023 na kuanza kutumika.

Mkuu wa Shule amesema hadi kufikia sasa ujenzi umefikia hatua ya ringibim upande mmoja na kumwaga jamvi.

Luoga ameipongeza Serikali kwa kutoa fedha za ujenzi wa Bweni ambalo litawasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu kukaa karibu na eneo la Shule

Kutoka Kitengo cha Mawsiliano Halmashauri ya Madaba

Novemba 7,2023.       

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa