• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

WAKULIMA Madaba wanufaika na Ufuta

Posted on: July 18th, 2023

MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ametoa rai kwa wananchi wa Wilaya hiyo kulima zao la Ufuta  ambalo halitumii mbolea na linapendwa kutumiwa na nchi za nje.

Hayo alisema alipofunga kikao cha utekelezaji wa afua za Lishe cha Robo ya nne Aprili- Juni 2023 kilichofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.

Ndile amesema watumishi waache kutegemea mshahara badala yake wawekeze katika kilimo cha  zao la ufuta ambalo litasaidia kuwawezesha kupata fedha za ziada.

Kwa upande wake mkuu wa Idara ya Kilimo Halmashauri ya Madaba Joseph Mrimi amesema  katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamefanikiwa kuuza ufuta katika vyama vya Msingi  tani 134,584   kwa kilo shilingi 3200/= na kupata shilingi  Milioni 430,668,800/=,Soya imeuzwa tani 11,217 kwa shilingi 855 jumla ya shilingi Milioni 9,590,535/=.

Hata hivyo Mrimi amesema wakulima wamepata kiasi cha shilingi Milioni 426,832,508/= na Halmashauri imepata ushuru wa  zaidi ya shilingi Milioni 10,497,681’5/=

“Kijiji cha Ifinga kimefanikiwa kuuza ufuta katika chama cha msingi IFINGA AMCOS  Kilo 93,949,wakulima wamepata shilingi Milioni  292 ,463,237/=pamoja na Halmashauri imepata ushuru wa  shilingi  Milioni 7,046,175/= ”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Julai,18,2023.       

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • KANISA la TAG Madaba wapata Mchungaji Mpya

    November 26, 2023
  • ZAHANATI ya Mahanje yaanza kutoa huduma

    November 23, 2023
  • SERIKALI yawapunguzia Wananchi umbali mrefu kufuata huduma za Afya Mahanje Madaba

    November 23, 2023
  • WANAFUNZI Lipupuma Madaba walivyofurahia kusoma Shule Mpya

    November 22, 2023
  • Angalia zote

Video

MWEKEZAJI AMALIZA KERO YA VITANDA IFINGA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa