• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WANANCHI Ifinga walivyojiwekea benki tofari 400,000 kwaajili ya Ujenzi wa Miradi ya Serikali

Posted on: September 23rd, 2023

WANANCHI Kata ya Matumbi kijiji cha Ifinga wamejiwekea benki tofari 400,000 kwaajili ya ujenzi wa miradi ya Serikali.

Mmwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa ametembelea Kata hiyo ya Matumbi Kijiji cha Ifinga na kukagua mradi wa benki tofari ulioanzishwa na wananchi.

Mlelwa amewapongeza Viongozi wa Kata na Kijiji hicho kwa kuanzisha mradi huo pamoja na wananchi wote.

“Sisi kama Halmashauri tunaleta fedha kwaajili ya ujenzi wa Miradi ,tuwapongeze wananchi wa Kijiji cha Ifinga   jambo hili si jambo dogo uongozi mzuria huleta mambo mazuri”.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Matumbi Valentini Mtemauti amesema tofari hizo ni kwaajili ya maendeleo ya Kijiji ambayo Serikali inapoleta fedha miradi itekelezwe kwa wakati.

Mtemauti amesema Viongozi wamepanga kufyatua tofari laki 400,000 ,kupitia nguvu ya Kijiji wamechanga michango na kuweka wafanyakazi wanaofyatua tofari hizo  katika upangaji wa tanuri inatumika nguvu kazi ya wananchi wenyewe.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba 

Septemba 23,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • TIMU YA UKAGUZI MKOA WA RUVUMA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MADABA.

    November 08, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA MKOANI YATUA MADABA KWA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    November 06, 2025
  • DED MADABA APIGA KURA KATIKA KITUO CHA SHULE YA MSINGI KIFAGURO

    October 29, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDI YAFUNGWA RASMI, MSISITIZO WAWEKWA KWENYE UZALENDO NA UADILIFU.

    October 27, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa