AZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambayo imeanza Januari 2 wilayani Tunduru na inatarajia kukamilika Januari 6 mwaka huu.Akiwa katika siku yake ya kwanza ya ziara Waziri Mkuu amepokea taarifa ya shughuli za maendeleo Mkoa wa Ruvuma kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme pamoja na kukagua ukarabati wa shule ya sekondari ya Tunduru iliyojengwa mwaka 1978. Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya Mkoa,Waziri Mkuu alizungumzia mgogoro wa kituo cha mabasi Songea kilichopo Kata ya Tanga Manispaa ya Songea ambapo ameagiza mgogoro huo kumalizwa haraka.
TAZAMA habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=JGejCl4_C6o
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa