Msimamizi msaidizi wa uchaguzi kijiji cha Wino Kata ya Wino halmashauri ya Wilaya ya Madaba Hamis Salum amekabidhi fomu ya ugombea wa uenyekiti wa kijiji kwa Benitho Winfred Mbilinyi kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa