Posted on: October 9th, 2023
MWENYEKITI wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho amekabidhiwa vitanda 20 vilivyotolewa na mwekezaji wa Kijiji cha Ifinga kampuni ya Mufindi Woodpoles planting and Timber Ltd.
Awadhi ...
Posted on: October 9th, 2023
SERIKAI ya awami ya Sita inayoongozwa na Rais Samia imetoa shilingi Milioni 50 kwaajili ya umaliziaji wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba.
Kamati ya ...
Posted on: October 7th, 2023
Serikali imetoa shilingi Milioni 90 kwaajili ya ukarabati wa Madarasa sita katika Shule ya Msingi Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba yaliyojengwa mwaka 1922 ilipoanzishwa shul...