Posted on: January 17th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ameongoza zoezi la upandaji miti katika Shule ya Sekondari Joseph Mhagama Halmashauri ya Madaba.
Akizungumza katika zoezi hilo ametoa rai kwa wananchi kuendele...
Posted on: January 17th, 2024
SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imetoa shilingi Milioni 90 kwaajili ya ukarabati wa Madarasa 6 katika Shule ya Matetereka Halmshauri ya Madaba.
Madarasa hayo hadi k...
Posted on: January 17th, 2024
Vyumba viwili vya Madarasa ya awali ya mfano na matundu 6 ya vyoo katika Shule ya Msingi Ifugwa Kata ya Mahanje Halmashauri ya Madaba vilivyojengwa kwa shilingi Milioni 66,300,000/= vimekamilika.
...