Posted on: September 14th, 2023
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa anawatangazia wafanyabaishara wote,Taasisi za Umma ,binafsi pamoja na wananchi wote kuwa siku ya Jumamosi Septemba 16,2023 kushiriki zoezi...
Posted on: September 14th, 2023
Serikali imesitisha ununuzi wa Mahindi kupitia wakala wa NFRA kwasababu ya changamoto ya ucheleweshwaji wa fedha za malipo kwa wakulima.
Hayo amesema Mkuu wa Wilaya ya Songe...
Posted on: September 13th, 2023
SERIKALI imeleta fedha kiasi cha shilingi Milioni 141 kwaajili ya ujenzi wa Bweni katika Shule ya Sekondari Ifinga.
Hayo amesema Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile alipokuwa akizungumza na...