Posted on: September 13th, 2023
MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anawataarifu Umma kuwa kuanzia leo tarehe 13 hadi 14 Septemba unafanyika Mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi Kitaifa.
...
Posted on: September 11th, 2023
DIWANI wa Kata ya Matumbi Varentino Mtemauti ameshiriki zoezi la usombaji wa tofari katika kijiji cha Ifinga kwaajili ya Maendeleo ya Kijiji ya uendelezwaji wa ujenzi wa Kituo cha Afya na miradi...
Posted on: September 10th, 2023
MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilya ya Madaba anawakumbusha wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kuhuiya taarifa za kilimo mwaka 2022/2023...