Posted on: January 18th, 2024
Kufuatia zao la ufuta kuzwa kilo shilingi 3,800/= Mkuu wa Wilya ya Songea Wilman Ndile amewasisitiza wananchi wa Halmashauri ya Madaba kulima zao hilo.
Hayo amesema baada ya kikao kazi cha Elimu ki...
Posted on: January 17th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amefanya kikao kazi cha kujua hali ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Kikao hicho kimefanyika katika Shule ya Sekondari ya Joseph Mhagama kilicho...
Posted on: January 17th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ameongoza zoezi la upandaji miti katika Shule ya Sekondari Joseph Mhagama Halmashauri ya Madaba.
Akizungumza katika zoezi hilo ametoa rai kwa wananchi kuendele...