Posted on: June 5th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amekagua Madarasa 2 ya Shule ya Sekondari Ifinga Kata ya Matumbi yaliyojengwa kwa shilingi Milioni 40.
Mwalimu wa taaluma wa Shule hiyo Paulina Giy...
Posted on: June 5th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuacha kuuza ufuta kwa bei ya hasara kwa watu binafsi.
Hayo amezungumza alipoongea na wananchi wa Kata ya Matumbi kijiji cha ...
Posted on: June 3rd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ameongea na kujitambulisha kwa wananchi wa kijiji cha Ifinga kata ya Matumbi tangu alipoteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya.
Kata ya Matumbi ipo takriban...