Posted on: April 24th, 2023
Halmashauri ya Madaba wameanza utekelezaji wa mradi wa Boost unaotekelezwa kwa zaidi ya shilingi Milioni 600 katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Timu ya wataalamu wa Halamshauri hiyo imetembelea Kata ...
Posted on: April 20th, 2023
KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalah Shaib Kaim ameridhia kuweka jiwe la msingi katika Ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Mbangamawe katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruv...
Posted on: April 20th, 2023
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Fredirick Sagamiko katika viwanja vya Sanangula Kata ya Tanga Man...