Posted on: March 2nd, 2023
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa amewakabidhi pikipiki 6 watendaji wa Kata.
Akizungumza katika zoezi hilo lililofanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ...
Posted on: March 1st, 2023
UFUATILIAJI wa ufundishaji na upimaji wa wanafunzi katika Shule za Msingi Halmashauri ya Madaba unaendelea kwa mda wa miezi miwili kuanzia shule zilipofunguliwa Januari 9,2023.
Maafisa Elimu ...
Posted on: February 28th, 2023
MWILI wa aliyekuwa anakaimu nafasi ya Afisa Tarafa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Marehemu Showing Mapunda umeagwa leo na wananchi wa Halmashauli hiyo Nyumbani kwake.
Zoezi la kuaga mwili limefany...