Posted on: June 12th, 2023
WATUMISHI wa Ajira mpya kada ya Afya na Elimu mpaka kufikia sasa wameripoti 30 kati ya watumishi 66 na kusajiliwa Halmashauri ya Madaba.
Maafisa utumishi Halmashauri ya Madaba wakiwasajili wa...
Posted on: June 10th, 2023
Maadimisho ya Siku ya Afya na Lishe yamefanyika katika Kijiji cha Mtepa Kata ya Lituta Halmashauri ya Wilaya ya Madaba na kuandaa vyakula vya aina mbalimbali kwaajili ya Afya ya Watoto...
Posted on: June 9th, 2023
SERIKALI kupitia Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 5.5 kujenga mradi wa Maji Kata ya Mtiyangimbole Halmashauri ya Madaba.
Mhandisi wa Wilaya ya Songea Mathias Pangra...