Posted on: February 3rd, 2023
KAMATI ya Siasa Mkoa wa Ruvuma imekagua Zahanati ya Kijiji cha Kipingo iliyojengwa kwa Shilingi milioni 40 iliyoletwa kwa awamu ya kwanza kutoka Serikali kuu.
Akisoma taarifa kwa kamati ya Siasa Mk...
Posted on: February 3rd, 2023
HALMASHAURI ya Madaba imepokea fedha kiasi cha shilingi milioni 200 kwaajili ya ujenzi wa nyumba 4 za Walimu wa shule ya msingi kutoka Serikali Kuu.
Akisoma taarifa hiyo Mwalimu wa Shule ya Msingi ...
Posted on: February 3rd, 2023
KAMATI ya Siasa Mkoa wa Ruvuma wamekagua mradi wa vyumba 10 vya madarasa kwa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Madaba.
Akitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Mku...