Posted on: January 26th, 2023
AFISA Elimu Msingi Halmashauri ya Madaba Saada Chwaya amefanya kikao kazi na walimu wa Kata ya Wino na Mateteleka.
Akizungumza kakatika kikao hicho kilichofanyika katika Shule ya Msingi...
Posted on: January 25th, 2023
MWALIMU wa Shule ya msingi ST.Getrude Samson Mwaijibe anayefundisha somo la Kiswahili amepongezwa kwa kupewa zawadi ya shilingi elfu themanini na moja (81,000) na walimu wenzake wa Kata ya Mkong...
Posted on: January 25th, 2023
TIMU ya Maafisa Elimu wa Halmashauri ya Madaba imefanya kikao kazi na walimu Msingi na Sekondari pamoja na Maafisa Elimu Kata katika Kata 5 kwa lengo la kuweka mika...