Posted on: February 3rd, 2023
KAMATI ya Siasa Mkoa wa Ruvuma wamekagua mradi wa vyumba 10 vya madarasa kwa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Madaba.
Akitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Mku...
Posted on: February 2nd, 2023
MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama ametoa mifuko 20 ya saruji yenye thani ya shilingi 340,000/= kwaajili ya ukarabati wa ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Kifaguro.
...
Posted on: January 31st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea, Ndugu Pololet Mgema (kushoto) pamoja na Mkuu mpya wa Wilaya ya Songea, Ndugu Wilman Kape...