Posted on: April 20th, 2023
MWENGE wa Uhuru Kitaifa 2023 umeendelea na ziara yake katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo Aprili 19,2023 umekagua na kuridhia miradi yote katika Halmashauri ya Madaba yenye thamani ya shiling...
Posted on: April 19th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Ndugu Sajidu Idrisa Mohamed akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Abdalah Shaib Kaim leo Aprili 19, 2023 katika uwa...
Posted on: April 19th, 2023
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdalla Shaib Kaim amezindua chanzo cha maji kilichopo katika shamba la Miti wino.
Kaim mara baada ya kukagua ametoa pongezi za dhati kwa kazi nzuri zina...