Posted on: October 18th, 2022
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewasili Songea kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Halmashauri za Namtumbo na Madaba.
...
Posted on: October 17th, 2022
SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetoa zaidi ya shilingi milioni 480 kutekeleza mradi wa maji katika kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba...
Posted on: October 17th, 2022
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI RUVUMA KESHO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Ruvuma Kesho Oktoba ...