Posted on: November 27th, 2022
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imejenga shule mpya 11 za sekondari mkoani Ruvuma zilizogharimu shilingi bilioni 7.7.
Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Mipa...
Posted on: November 28th, 2022
HALMASHAURU ya Madaba imepokea kiasi cha fedha shilingi milioni 470 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya Joseph Kizito Mhagama Desemba 21,2022.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Moham...
Posted on: November 27th, 2022
HALMASHAURI ya Madaba inatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Nguluma unagharimu kiasi cha Shilingi milioni 40.
Akitoa taarifa hiyo Mkurugenzi Mtend...