Posted on: July 3rd, 2024
MENEJA wa benki ya NMB Madaba Ghati wakete amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kuendelea kutumia na kupata huduma za benki ya NMB.
Pongezi hizo amezitoa katika kikao cha w...
Posted on: June 30th, 2024
Serikali imeboresha huduma za afya na kuanzisha mfuko wa hifadhi CHF ya kuwasaidia wananchi kupata huduma za afya zinazotumika ndani ya Mkoa husika katika vituo vyote vya kutolea huduma.
Afis...
Posted on: June 30th, 2024
WANANCHI wa kitongoji cha kifaguro, kata ya Lituta Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamefanya maadhimisho ya afya na Lishe.
Maadhimisho hayo yamefanyika katika hospitali ya Halmashauri y...