Posted on: June 26th, 2021
WADAU wa kilimo na Ushirika kutoka wilaya zote mkoani Ruvuma wamekubaliana kuwa hakuna soya wala ufuta utakaonunuliwa na kutoka nje ya Mkoa wa Ruvuma bila kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
...
Posted on: June 26th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimia Samia Suluhu Hassan amewaomba viongozi wa dini na wananchi wote kurejea kwa Mwenyezi Mungu kumuomba anusuru Taifa dhidi ya COVID 19 ...
Posted on: June 24th, 2021
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Jairy Kanga ametoa rai kwa wananchi mkoani Ruvuma kutumia mbinu zote zilizotolewa na wataalam wa afya katika kuchukua tahadhari na kujilinda dhidi ya maambukizi ya wim...