Posted on: October 29th, 2025
Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, Wakili Sajidu Idrisa Mohamed, akishiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani, leo asubuhi Oktoba 29, ...
Posted on: October 27th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Madaba, Wakili Abdul Manga, amefunga rasmi mafunzo ya siku mbili kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura yaliyofanyika katika ukumbi wa...
Posted on: October 26th, 2025
Wasimamizi Wakuu wa Vituo vya Kupigia Kura pamoja na Wasimamizi Wasaidizi wameanza rasmi mafunzo ya siku mbili yanayofanyika katika Shule ya Sekondari Madaba, yakilenga kuwaandaa kwa majukumu ya...