Posted on: March 15th, 2024
KAMATI ya Kudumu ya Bunge utawala Katiba na Sheria inayoongoza Wizara tano wametembelea ujenzi wa soko linalojengwa kwa shilingi Milioni 190 kupitia mradi wa TASAF Jimbo la Madaba Mkoa wa Ruvuma...
Posted on: March 15th, 2024
SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia inatarajia kujenga Stendi ya Mabasi Madaba Mkoa wa Ruvuma na kupanua ujenzi wa soko linalojengwa kwa shilingi Milioni 190 kupitia mradi...
Posted on: March 13th, 2024
MVUA iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha takribani dakika 10 Machi 12,2024 majira ya jioni imeezua madarasa mawili na vyoo katika shule ya Msingi Likarangiro na nyumba moja ya m...