Posted on: August 5th, 2024
Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamewasili katika viwanja vya maonyesho ya biashara mbalimbali maarufu kama nane nane Mbeya na kujionea ufugaji wa wanyama mbalimbali na kilimo....
Posted on: August 5th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Kelvin Mapunda ametembelea banda la madaba katika maonyesho ya Nane nane Mbeya na kusaini katika kitabu cha wageni...
Posted on: August 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amewasili katika viwanja vya Nane nane Mbeya na kusaini katika kitabu cha wageni.
Mkurugenzi mtendaji amesalimiana wataalam...