Posted on: June 3rd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ameongea na kujitambulisha kwa wananchi wa kijiji cha Ifinga kata ya Matumbi tangu alipoteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya.
Kata ya Matumbi ipo takriban...
Posted on: June 3rd, 2023
MENEJA wa Wakala wa Misitu Shamba la Wino Grory Kassmir amekabidhi mifuko ya Saluji 150 yenye thamani ya shilingi milioni 2,475,000/=kwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile.
Zoezi hilo lime...
Posted on: June 3rd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ametembelea kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi na kukagua Nyumba ya Mwalimu Iliyojengwa kwa Shilingi Milioni 114,450,000 /=
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya...