Posted on: January 17th, 2024
Vyumba viwili vya Madarasa ya awali ya mfano na matundu 6 ya vyoo katika Shule ya Msingi Ifugwa Kata ya Mahanje Halmashauri ya Madaba vilivyojengwa kwa shilingi Milioni 66,300,000/= vimekamilika.
...
Posted on: January 16th, 2024
MADARASA Mawili na vyoo viwili vilivyojengwa katika shule ya Msingi Tulihani Kata ya Wino Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kupitia Mradi wa BOOST vimekamilika kwa asilimia 100 na kuanza kutumika....
Posted on: January 16th, 2024
VYUMBA viwili vya madarasa na matundu matatu ya vyoo vilivyojengwa kwa shilingi Milioni 53,100,000/= kupitia mradi wa BOOST katika shule ya Msingi Mahanje vimekamilika na kuanza kutumika katika Halmsh...