Posted on: October 30th, 2023
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed leo Oktoba 30,2023 amefanya kikao na watumishi wote wa Halmashauri na kusikiliza kero na changamoto zao wanazokutana na...
Posted on: October 26th, 2023
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba Kitaifa imeshika nafasi ya 4 katika zoezi la afua za Lishe kwa kutenga fedha kwa kila mtoto kwa shilingi elfu nne kwa miaka miwili mfululizo.
Hayo amesema Mkuu...
Posted on: October 26th, 2023
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba kupitia kitengo cha Lishe kwa mwaka wa fedha 2022/2023 wamefanikiwa kutoa Elimu ya lishe katika Kata na Vijiji .
Akitoa taarifa hiyo Afisa Lishe wa Halmashauri...