• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

Video

  • WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA UJENZI WA SHULE

    September 26th, 2023
  • MADIWANI MADABA WAADHIMIA KUSIMAMIA MIRADI

    July 29th, 2023

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Teofanes Mlelwa amewaagiza waheshimiwa madiwani wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanasimamia miradi yote ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali Katika kata zao.Mheshimiwa Mlelwa alikuwa anazungumza kwenye mkutano wa Baraza la madiwani la Halmashauri hiyo mjini Madaba

  • RC RUVUMA ALIVYOKAGUA MIRADI YA BOOST

    July 7th, 2023

    MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema hajaridhishwa na Usimamizi wa miradi ya BOOST na SWASH  Halmashauri ya Madaba hali iliyosababisha miradi hiyo kutokamilika na kutekelezwa chini ya kiwango.Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo katika kijiji cha Lipupuma Kanali Thomas amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba,Mkuu wa Wilaya ya Songea na Kamati za Usimamizi wa miradi kusimamia kwa nguvu zote ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa  kuwa muda wa utekelezaji umekwisha na wanafunzi wanatakiwa kuanza kutumia miundombinu hiyo.Miradi ya BOOST iliyokaguliwa na Mkuu wa  Mkoa wa Ruvuma katika Halmashauri ya Madaba ni ujenzi wa madarasa mawili na vyoo shule ya Msingi Ngembambili unaotekelezwa kwa zaidi ya milioni 52,mradi wa ujenzi shule mpya ya msingi Lipupuma unaogharimu shilingi milioni 331 na mradi wa ujenzi wa vyoo matundu 13 katika shule ya msingi Sokoine kijiji cha Ngadinda unaogharimu shilingi milioni 34






  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • MADABA walivyofanya kikao cha maandalizi ya mpango wa bajeti ya afua za Lishe mwaka wa Fedha 2024/2025

    November 22, 2023
  • SIKU ya Choo Duniani

    November 19, 2023
  • Hosteli ya wanafunzi wenye mahitaji maalum Madaba kukamilika Disemba 2023

    November 19, 2023
  • SEKONDARI Mpya Lilondo Madaba kukamilika Disemba 2023

    November 19, 2023
  • Angalia zote

Video

MWEKEZAJI AMALIZA KERO YA VITANDA IFINGA
Video zaidi

Kurasa za karibu

Kurasa Mashuhuru

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa